
JKT sasa ni mwendo wa vichapo
USHINDI wa mechi mbili mfululizo katika Ligi Kuu Bara umempa ahueni kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, ambaye sasa ana matumaini makubwa ya kuendeleza rekodi nzuri kwenye michezo ijayo. Ally anaamini timu yake inaweza kufanikisha matokeo mazuri, hususani katika michezo mitatu mfululizo inayowakabili nyumbani, ukiwamo mmoja wa Kombe la FA dhidi ya Igunga United. Baada…