MWANAFUNZI LIGHTNESS AOMBA SAPOTI YA RAIS SAMIA, FLAVIANA MATATA AWE MWANAMITINDO WA KIMATAIFA

Mwanafunzi Lightness Enock Ngwangwalu mwenye umri wa miaka 16 aliyemaliza Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Mbabala, Dodoma amesema ndoto yake ni kuwa mwanamitindo wa Kimataifa hivyo anaomba msaada kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata ili aendelezwe hadi kufikia ndoto yake hiyo. Alifikia kuomba msaada huo wakati wa mahojiano…

Read More

Fadlu: Huyo Ramovic? Ngojeni muone

YANGA imeshinda mechi yake ya kwanza chini ya kocha Sead Ramovic, ushindi ulioshusha presha kwa mashabiki wa timu hiyo lakini kocha wa watani wao Fadlu Davids amefunguka juu ya anayoyajua kuhusu Mjerumani huyo.Yanga iliichapa Namungo juzi kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Majaliwa, mabingwa watetezi wakiendeleza rekodi ya kibabe mbele ya timu hiyo ukiwa ni…

Read More

Nondo atelekezwa Magomeni akiwa mahututi

  MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, amepatikana usiku huu baada ya kutupwa karibu na makao makuu ya chama hicho, Magomeni, Dar es salaam, akiwa na majeraha na mahututi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam  …(endelea). Ado Shaibu, katibu mkuu wa chama hicho, amethibitisha kupatikana kwa kiongozi huyo na kuongeza,…

Read More

Hivi ndivyo Nondo wa ACT Wazalendo alivyotekwa Dar

Dar es Salaam. Wakati tukio la Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo, Abdul Nondo kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana likiibua mjadala, Jeshi la Polisi limeelezea jinsi tukio hilo lilivyotokea. Nondo anadaiwa kukutwa na kadhia hiyo leo Jumapili, Desemba mosi, 2024 muda mfupi baada ya kushuka katika basi kituo cha mabasi cha Magufuli, jijini Dar…

Read More

Ummy Mwalimu ataja siri ushindi wa Dk Ndugulile WHO

Dar es Salaam. Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu amezungumzia ushindi wa aliyekuwa mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika na mbunge wa Kigamboni, marehemu Dk Faustine Ndugulile kuwa ulikuwa mgumu hasa katika mchakato wa kuomba kura. Ummy aliyewahi kuwa Waziri wa Afya amesema hayo leo Jumapili, Desemba mosi, 2024 alipofika…

Read More

Maafisa wa Umoja wa Mataifa wametoa hofu juu ya kuongezeka kwa ghasia kaskazini magharibi mwa Syria – Masuala ya Ulimwenguni

Kengele hiyo inakuja huku kukiwa na ongezeko kubwa la mapigano katika Jimbo la Aleppo, na kusambaa hadi sehemu za majimbo ya Idleb na Hama na kuacha hali kuwa tete na isiyotabirika. Katika a kauli Siku ya Jumapili, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria Geir O. Pedersen alielezea wasiwasi wake mkubwa juu ya mabadiliko…

Read More