Kapama, Gustavo watua Fountain Gate

KLABU ya Fountain Gate iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa viungo Nassor Kapama kutoka Kagera Sugar na Daniel Joram ‘Gustavo’ kutokea Pamba, ili kuongezea nguvu katika timu hiyo yenye makazi yake Wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kapama aliyewahi kutamba na timu mbalimbali zikiwemo za Mtibwa Sugar na Simba, tayari amekuwa na mazungumzo…

Read More

Dodoki, nguo za ndani zinapogeuka kuwa hatari

Dar es Salaam. Dodoki, tunda mithili ya tango kubwa linapokauka hutumiwa na wanajamii kujisugua wakati wa kuoga. Kutokana na maendeleo ya teknolojia, kwa sasa wapo wanaotumia vifaa vilivyotengenezwa viwandani maalumu kwa ajili ya kujisugua wakati wa kuoga. Si hivyo tu, wapo wanaotumia nguo za ndani kwa kazi hiyo. Swali ni je, wajua matumizi ya dodoki…

Read More

Hamdi arithi mikoba ya Aussems Singida BS

MABOSI wa Singida Black Stars wamemalizana na Kocha Miloud Hamdi mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ili kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mbelgiji Patrick Aussems aliyeondoka Novemba 29, mwaka huu. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo, zililiambia Mwanaspoti kuwa, mazungumzo na kocha huyo mwenye Leseni A ya UEFA yamefanyika kwa ufanisi na walikuwa katika…

Read More

Mama wa pacha waliotenganishwa apewa makazi ya muda, atoa ombi kwa Samia-2

Dar es Salaam. Hadija Shaban (24), mama wa pacha waliotenganishwa nchini Saudi Arabia, Oktoba 23, 2023 anasimulia furaha aliyokuwa nayo alipopewa taarifa za kurudi nyumbani Tanzania baada ya wanawe kuendelea vyema kiafya. “Nilihisi furaha ya ajabu nikiwaza kwamba watoto wangu wanarudi kwao wakamuone ndugu yao, mama na ndugu zangu wengine. Nilikumbuka sana nyumbani kwetu, nchini…

Read More

Madee na picha ya rais Emirates Stadium

Madee ameshare picha zinazomuonesha akiwa katika Uwanja wa Club ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu England, akiwa amebeba picha ya Rais Samia na Bendera ya Tanzania Uwanjani hapo Madee ameshiriki katika moja ya mechi za team hiyo ya Arsenal ambayo ni team yake pendwa.. na amekua akisafiri mara kadhaa kwenda huko kwaajili ya kutazama team yake…

Read More

Mwanajeshi Korea Kaskazini adakwa Ukraine, afariki

Kursk. Mwanajeshi wa Korea Kaskazini anadaiwa kukamatwa na vikosi vya Jeshi la Ukraine katika eneo la mapigano la Kursk nchini Russia, lakini mwanajeshi huyo aliyekuwa na majeraha alifariki muda mfupi baada ya kutiwa mbaroni na vikosi hivyo. Mwanajeshi huyo ni miongoni mwa zaidi ya askari 11,000 wa Korea Kaskazini waliopelekwa nchini Russia kuongeza nguvu, wakati…

Read More