
Makamba asimulia mikiki aliyopitia Dk Ndugulile hadi ubosi WHO
Dar es Salaam. Mbunge wa Bumbuli na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesimulia mambo aliyoyapitia, Dk Faustine Ndugulile hadi kutwaa ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Ndugulile aliyekuwa mkurugenzi mteule wa WHO Afrika, alifariki dunia Novemba 27, 2024 akipatiwa matibabu nchini India. Katika…