
Wadau wa elimu wamepongezwa kwa kuonesha juhudi kuhakikisha wanaongeza miradi yenye kukuza sekta ya elimu
Katika kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata elimu, wadau mbalimbali wa elimu wamepongezwa kwa kuonesha juhudi juu ya kuhakikisha wafanikiwa kwa kuongeza miradi yenye kukuza sekta ya elimu. Hayo yamebainishwa leo na Diwani wa kata ya Tangini, Mfaume Kamuga wakati wa mahafali ya Wanafunzi wa kabla ya shule ya awali pamoja na ufunguzi wa shule…