
Taoussi aziwekea mtego Simba, Yanga
UNAWEZA kuona kama ni mapema hivi, lakini sio kwa kocha wa Azam FC Rachid Taoussi ambaye rekodi za kikosi chake zinazimpa jeuri na kusema mpango wake mpya ni dhidi ya Simba na Yanga. Azam kufikia sasa msimu imecheza mechi 12 za ligi, imeshinda nane, sare tatu na kupoteza moja dhidi ya Simba. Kati ya mechi…