
Wenye ualbino wataja changamoto tano zinazowakabili, Serikali yajipanga
Dar es Salaam. Wakati watu wenye ualbino wakitaja changamoto tano ‘sugu’ wanazodai kukwamisha utu na ustawi wao, Serikali imesema imekamilisha uandaaji wa mpango kazi wa haki na ustawi wao. Mpango huo unatarajiwa kuzinduliwa Jumanne ya Desemba 3, 2024 kwenye maadhimisho ya Siku ya Watu wenye Ulemavu Duniani. Jana Jumamosi, Novemba 30, 2024 yalifanyika matembezi ya…