
Chobanka mbioni kujiunga Ceasiaa Queens
KOCHA wa Alliance Girls, Ezekiel Chobanka inaelezwa yuko mbinoni kujiunga na Ceasiaa Queens ya Iringa kwa mkataba wa mwaka mmoja. Kocha huyo ameifundisha Alliance kwa zaidi ya misimu 15 akiwatengeneza baadhi ya nyota wa kike wanaokipiga nje akiwemo Aisha Masaka wa Brighton, Enekia Lunyamila (Mazaltan, Mexico) na Aisha Mnunka wa Simba Queens aliyeibuka mfungaji bora…