
TCAA yanyakua tuzo 3 za mwajiri bora 2024
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), imenyakua tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo za Mwajiri Bora zilizofanyika jijini Dar es Salaam Novemba 29, 2024. Katika usiku huo wa tuzo TCAA imenyakua tuzo ya Mshindi wa Kwanza wa Maudhui ya Ndani, Tuzo ya mshindi wa pili ya Mwajiri Bora katika Sekta za Umma na…