
Ukimleta ndugu yako mjini mwambie haya
Mwaka unaisha, kwa sisi waswahili hiki ndio kipindi cha kuchukua ndugu zetu, watoto wa dada zetu, wa shangazi na wa wajomba zetu kutoka vijijini kuwaleta mjini kuwafundisha maisha ili wajijenge kama sisi ambavyo tuliletwa mjini tukajijenga. Kushikana mikono ni utamaduni mzuri sana, lakini kama kawaida ya mtu anapokwenda kwenye mazingira mapya, lazima apate maelekezo ya…