
Russia yamnasa aliyejaribu kutega bomu Moscow
Moscow. Shirika la Ujasusi la Russia (FSB) limedai kumkamata raia wa nchi hiyo akidaiwa kukubaliana na vikosi vya Jeshi la Ukraine kufanya jaribio la mauaji ya mwanablogu na Ofisa wa Juu wa Jeshi la Russia kwa kumlipua na bomu. Katika taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Desemba 28, 2024 na FSB, mtuhumiwa huyo amewaeleza wapelelezi kuwa Ukraine…