WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA.

Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza miradi hiyo ikamilike kabla ya msimu wa…

Read More

Trump aiomba mahakama kusitisha marufuku dhidi ya TikTok – DW – 28.12.2024

Rais mteule Donald Trump ameirai Mahakama Kuu ya Marekani kusitisha utekelezaji wa sheria inayoweza kuipiga marufuku programu maarufu ya mitandao ya kijamii, TikTok, au kulazimisha iuzwe, akisema anapaswa kupewa muda baada ya kuingia madarakani ili kutafuta “suluhisho la kisiasa” kwa suala hilo. Mahakama inatarajiwa kusikiliza hoja za kesi hiyo tarehe 10 Januari. Sheria hiyo inawataka wamiliki wa TikTok…

Read More

Gusa achia Yanga… Ina mambo matatu!

HUKO kitaani kwa sasa mashabiki wa Yanga wameanza kunenepa kwa furaha kwa aina ya soka linalopigwa na nyota wa timu hiyo maarufu kama ‘Gusa Achia Twende Kwao’ ambalo siku za karibuni limezitesa timu pinzani katika mechi za Ligi Kuu Bara, huku kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic akifichua siri tatu za soka hilo. Kocha huyo…

Read More

Rais mteule wa Msumbiji atoa wito wa ‘kutotumia vurugu’ – DW – 28.12.2024

Daniel Chapo, ambaye ameahidi kuwa “rais wa wote” baada ya kuapishwa katikati ya Januari, alielezea masikitiko yake juu ya vurugu zilizotokea baada ya Baraza la Katiba kuthibitisha ushindi wa chama chake tawala, Frelimo, kwa asilimia 65.17 ya kura. Kiongozi wa upinzani, Venancio Mondlane, aliyepata asilimia 24, anaendelea kukataa matokeo hayo na kuwataka wafuasi wake waandamane…

Read More

Ngoma sasa uhakika Simba | Mwanaspoti

KAMA we’ ni shabiki wa Simba na ulikuwa na mawazo huenda kiungo Fabrice Ngoma anaweza kuondoka hivi karibuni, basi sahau kwani nyota huyo kutoka DR Congo bado yupo sana na kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids ameweka bayana mbinu alizotumia kumtuliza fundi huyo wa mpira. Awali, kulikuwa na tetesi kwamba Ngoma hana furaha Msimbazi…

Read More

Yanga, Singida Black Stars zagongana dirisha dogo

YANGA imerudi kwa mshambuliaji wa Ghana aliyekuwa katika hesabu tangu msimu uliopita, huku Singida Black Stars ikiwa tayari kwenye mazungumzo naye. Mshambuliaji huyo anakumbukwa zaidi alipokutana na Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita hatua ya makundi akifunga bao  katika sare ya 1-1 akiwa na Medeama ya Ghana kabla ya kucheza jijini Dar es…

Read More