
Serikali yamchunguza anayedaiwa kujipatia ekari 100 za ardhi Mkuranga
Dar es Salaam. Serikali inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kutakatisha Sh8 milioni zilizotokana na kununua eneo lenye ukubwa wa ekari 100 katika Kijiji cha Kibesa Wilaya ya Mkuranga Pwani inayomkabili raia wa Burundi, Kabura Kossan (65). Kossan anakabiliwa na mashtaka sita katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Baadhi ya mashtaka hayo ni pamoja na…