
Mtendaji wa kijiji adaiwa kujinyonga kisa ugumu wa mazingira ya kazi
Sikitu Mwasubila (31) anadaiwa kujinyonga katika mtaa wa Melinze mjini Njombe Disemba 24, 2024 kisa ugumu wa mazingira ya kazi. Inaelezwa kuwa Mwasubila alikuwa Mtendaji wa kijiji cha Mkwayungi mkoani Dodoma ambapo alipata kazi hiyo hivi karibuni na siku kadhaa zilizopita alirudi mjini Njombe anapoishi mume wake kabla ya kujinyonga. Kamanda wa Polisi mkoa wa…