GMGI yaendelea kupanua huduma kwa kujiimarisha Marekani

Golden Matrix Group (GMGI) kupitia Expanse Studios, imefanikiwa kufungua rasmi huduma zake kwenye soko la Marekani. Hatua hii ni sehemu ya mpango wa muda mrefu wa kampuni wa kupanua uwepo wake kimataifa. Soko la social casino nchini Marekani lina thamani kubwa, na Expanse Studios inalenga kufanikisha malengo yake kwa kuleta michezo ya kiwango cha juu…

Read More

Pata msisimko wa mashindano ya Expanse Slot Meridianbet

  Mashindano ya Expanse Slot yanayofanywa na Meridianbet bado yanaendelea mpaka Desemba 31, 2024. Mashindano haya ni hususani kwa wateja na washiriki na wapenzi wote wa kubashiri kuweza kujinyakulia mkwanja mrefu katika harakati za kumaliza/ kufunga mwaka. Yaan unamaliza mwaka kwa kuibuka na kitita kutoka Meridianbet. Promosheni hii maalum inapatikana kwa wachezaji wote waliosajiliwa kwenye…

Read More

DIWANI WA CHADEMA ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA KUMPIGA RISASI MKULIMA

Na WILLIUM PAUL, SAME. ALIYEKUWA Diwani wa kata ya Bendera wilayani Same mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha CHADEMA mwaka 2015-2020, Michael Mcharo (52), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za  mauaji ya Edson Shangari (59), mkulima kwa kumpiga risasi tatu mwilini mwake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro,…

Read More

Hatua kwa hatua pambano la KO ya Mama

Unaweza kusema ilikuwa ni zaidi ya burudani kwa Watanzania katika pambano la Knock Out ya Mama lililoanza usiku wa jana Desemba 26 na kufikia tamati saa 12 asubuhi ya leo Desemba 27, 2024 kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini hapa. Pambano hilo lililowakutanisha mabondia kutoka Ufilipino, Burundi, Afrika Kusini, Nigeria na wenyeji Tanzania,…

Read More

Kwa nini uepuke vyakula vya wanga

Vyakula vya wanga ni rafiki kwa jamii nyingi za Kitanzania zenye maisha ya chini na kati, ni mara chache kuvikosa katika akiba ya chakula majumbani mwao. Kwa tafiti ya kuona tu, walio wengi asubuhi, mchana na jioni milo mikuu yao huwa haikosi vyakula vya wanga. Mfano wa vyakula vya wanga katika jamii yetu ni pamoja…

Read More

Sababu watoto wachanga kupata manjano

Geita. Manjano ni zao litokanalo na kuvunjwavunjwa kwa seli nyekundu za damu ambazo hutoa zao la mwisho ambalo ni bilrubin inayotengeneza rangi ya njano mwilini. Kazi mojawapo ya bilrubin ni kuhifadhiwa kwenye kifuko cha nyongo na kutengeneza nyongo ambayo kazi yake ni kusharabu aina mbalimbali za vyakula kama vile vya mafuta na vitamin mbalimbali kwenye…

Read More