Ramovic, Job wana jambo lao Yanga

KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job ni kama wametofautiana juu ya kasi na mwenendo wa timu hiyo iliyoshinda mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu tangu ilipotoka kuchemsha kwenye michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga iliyokuwa imepoteza mechi mbili za CAF za Kundi A mbele ya Al Hilal…

Read More

Tano za kufunga mwaka WPL

UTAMU wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) unaendelea leo kwa mechi tano za kufungia mwaka, huku macho na masikio ya mashabiki yataelekezwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa wakati wenyeji Fountain Gate Princess watakapoialika JKT Queens, huku vinara na watetezi Simba Queens wakiwa ugenini kuikabili Bunda Queens. Simba inayoongoza msimamo ikiwa na pointi 19 bila kupoteza…

Read More

Azam, JKT Tanzania kazi ipo Chamazi

KIWANGO cha JKT Tanzania katika kujilinda kinaweza kuwa mtihani mwingine wakati leo itakapokuwa mgeni wa Azam FC inayonolewa na kocha Rachid Taoussi ambaye alipata nafasi ya kuwaona maafande hao siku chache zilizopita wakila sahani moja na Simba katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara. Azam inakutana na JKT Tanzania ikiwa na kumbukumbu ya kutoka suluhu…

Read More

GBT kudhibiti madubwi haramu | Mwanaspoti

KAMA wewe ni mcheza au mchezeshaji mchezo wa dubwi (Slot) mtaani na unafanya kinyume cha sheria, jiandae tu kwa sasa, kwani Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imeanza msako ikiwatumia wenyeviti wa Serikali za Mitaa. Mkurugenzi Mkuu wa GBT, James Mbalwe alisema jana wamepokea malalamiko ya baadhi ya watu kuendesha mchezo wa Sloti (dubwi)…

Read More

Jinsi ya kutumia chakula kama dawa ya kisukari

Kwa wagonjwa wa kisukari, kutumia chakula kama dawa ni njia mojawapo ya kudhibiti kisukari na kupunguza madhara ya ugonjwa huu. Mlo sahihi unaoweza kudhibiti viwango vya sukari unaweza kuepusha madhara ya kisukari. Matumizi ya vyakula vyenye makapimlo ua ‘fiber’ kama matunda, mboga za majani, nafaka isiyokobolewa na wanga aina ya mizizi kama maboga, vyakula vya…

Read More

Asili ya maneno kuchimba, dawa, kukata gogo

Imezoeleka kwa watu hasa wasafiri kutumia tafsida wanapotaka kwenda haja kubwa au ndogo.  Maneno maarufu ni ‘kukata gogo’ kwa haja kubwa huku wanaoenda haja ndogo wakisema ‘wanakwenda kuchimba dawa’. Unajua maneno yalitokea wapi? Kuna mahali yalianzia. Ofisa Elimu wa Kijiji cha Makumbusho, Wilhelmina Joseph, anasema zamani jamii nyingi za makabila ya Kitanzania, zilikuwa zinajenga nyumba…

Read More