
Kesi za watu maarufu zilizobamba 2024
Dar es Salaam. Komanya Erick Kitwala, Luhaga Mpina na Dk Yahya Nawanda ni miongoni mwa majina ya watu maarufu walioingia katika kumbukumbu za Mahakama kwa mwaka 2024, kutokana na kesi zilizowahusisha au kuamuiwa mwaka huu. Hizi ni kesi zilizowahusisha wadaawa (kwa zile za madai) au washtakiwa (kesi za jinai ambao ni watu maarufu katika jamii…