
Ramovic, Job watofautiana Yanga | Mwanaspoti
KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job ni kama wametofautiana juu ya kasi na mwenendo wa timu hiyo iliyoshinda mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu tangu ilipotoka kuchemsha kwenye michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga iliyokuwa imepoteza mechi mbili za CAF za Kundi A mbele ya Al Hilal…