
AKILI ZA KIJIWENI: Siri ya watoto wa Morogoro ni hii
VIJANA wa Morogoro hivi sasa wamezikamata Simba na Yanga kutokana na viwango bora wanavyovionyesha katika vikosi vya timu hizo ambavyo vimewawezesha kupata namba vikosini. Katika kikosi cha Yanga kuna Dickson Job, Nickson Kibabage, Kibwana Shomari, Abuutwalib Mshery na Jonas Mkude ambaye hata hivyo yeye amekuwa hapati nafasi ya kucheza ila amedumu sana kwenye kiwango chake….