Namungo yashtuka, yatema wanne | Mwanaspoti

MABOSI wa Namungo, umefikia makubaliano ya kuachana na aliyewahi kuwa beki wa Yanga, Djuma Shaban akiungana na nyota wengine watatu. Djuma aliyeitumikia Yanga kwa mafanikio akicheza misimu miwili na kutwaa mataji ya ligi na kucheza fainali Kombe la Shirikisho Afrika ameitumikia Namungo kwa miezi sita. Akizungumza na Mwanaspoti, Mratibu wa Namungo Ally Suleiman alisema ni…

Read More

Rupia ajichomoa vita ya kiatu Ligi Kuu Bara

MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Elvis Rupia amesema licha ya kuongoza katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara akiwa na mabao manane, lakini lengo lake ni kuhakikisha kikosi hicho kinafanya vizuri zaidi. Nyota huyo amefikisha mabao hayo baada ya juzi kuifungia timu hiyo bao moja katika ushindi wa 2-1 dhidi ya KenGold na…

Read More

Baleke ndo basi tena Yanga

SIKU chache baada ya Mwanaspoti kuweka bayana kwamba straika wa Yanga, Mkongomani Jean Baleke amekalia kuti kavu katika kikosi hicho, sasa imethibitishwa kwamba ndoa ya pande hizo mbili imeisha baada ya kukabidhiwa barua yenye maumivu akisitishiwa mkataba wake wa mkopo akitokea TP Mazembe. Tayari klabu hiyo imeanza msako wa kuleta mashine mpya kuziba nafasi ya…

Read More

Fadlu: Simba? Mbona bado! | Mwanaspoti

KAMA kuna kitu ambacho kinafanywa na Simba katika Ligi Kuu Bara, basi ni mateso makubwa kwa timu pinzania inazokutana nazo, ikiwa imeshafumania nyavu za timu pinzani mara 29 katika michezo 14 iliyocheza. Lakini kama hiyo haitoshi imeruhusu mabao matatu tu kuingia katika nyavu zake, huku ikirejesha pira ililokuwa ikianza kurejea taratibu kucheza kama enzi zile…

Read More

Ahoua apindua utawala wa Chama

Mashabiki wa Simba kwa sasa wanatembea vifua mbele kutokana na aina ya kikosi walicho nacho, huku wakiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa pointi 37. Lakini, chama hilo pia linafanya vizuri katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika likishika nafasi ya tatu katika Kundi A, likiwa na pointi sita baada ya kucheza michezo mitatu wakiwa…

Read More

Russia yafanya mashambulizi ya “kinyama” Krismas – DW – 26.12.2024

Russia ilishambulia mfumo wa nishati wa Ukraine na baadhi ya miji siku ya Jumatano kwa makombora ya masafa marefu na makombora ya balistiki pamoja na droni, katika kile ambacho Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy alikilaani kama shambulizi “lisilo la kibinadamu” siku ya Krismasi.  Karibu miaka mitatu tangu vita kuanza, mashambulizi hayo yaliwajeruhi watu wasiopungua sita…

Read More

Wafungwa 1,500 watoroka Maputo katika machafuko ya uchaguzi – DW – 25.12.2024

Mkuu wa Polisi Bernardino Rafael amesema jumla ya wafungwa 1,534 walitoroka kutoka gereza lenye ulinzi mkali lililoko umbali wa takriban kilomita 15 kutoka mji mkuu Maputo. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari, alibainisha kuwa kati ya waliokuwa wakijaribu kutoroka, 33 waliuawa na 15 walijeruhiwa katika makabiliano na walinzi wa gereza.  Operesheni ya kuwasaka wahalifu…

Read More