
Kauli ya Warioba kifo cha Jaji Werema
Dar es Salaam. Jaji mstaafu, Joseph Warioba amemzungumzia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, mstaafu Jaji Frederick Werema akisema ni miongoni mwa watu wachache aliowahi kufanya nao kazi kwa uaminifu, weledi, uadilifu na uwazi mkubwa. “Pamoja na kwamba amekuwa akitajwa kwenye sakata la Escrow, hakuna mtu anayeweza kutilia shaka uaminifu wake, ni mtu mkweli bahati isiyokuwa nzuri…