
Trump awatakia Xmas njema “wapuuzi” wa mrengo wa kushoto – DW – 25.12.2024
Rais wa Marekani Joe Biden na mrithi wake ajae, Donald Trump, walitoa ujumbe tofauti sana wa Krismasi Jumatano, huku Trump akisisitiza tena matamshi yake ya hivi karibuni kuhusu kuudhibiti Mfereji wa Panama, kuinunua Greenland, na kuiunganisha Canada na Marekani. Biden alichapisha ujumbe mfupi wa msimu wa Krismasi uliolenga “wema na huruma,” wakati Trump alituma machapisho…