
Mchanja, Mfilipino kasi ipo KO ya Mama
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Yohana Mchanja na mpinzani wake Miel Farjado wa Ufilipino watakabiliana katika pambano la kimataifa la kuwania mkanda wa ubingwa wa WBO Global huku kila mmoja akitamba kumchakaza mpinzani wake. Mabondia wamepima uzito leo katika Ufukwe wa Coco tayari kwa pambano hilo la Knockut ya Mama litakalofanyika kesho Alhamisi kwenye…