KONA YA FYATU MFYATUZI: Wabongo tunarogwa na dini zetu wenyewe

Nimekuwa nikiepuka kuzifyatua dini, hasa kinachoendelea, hasara, maudhi, maangamizi, utapeli na wizi wa waziwazi yanayoanza kuzoeleka, nimelazimika kufyatuka na kufyatua vinavyoonekana kutofyatuliwa. Walipokuja wakoloni wa kitasha na wafanya biashara ya utumwa wa kimanga, walituletea dini na utamaduni wao, baada ya kuharibikiwa kwao wakatuharibu tukaharibikiwa. Kwanza, walifyatua dini zetu kwa kuzitukana, kuzidhalilisha na kuzizika, huku nasi,…

Read More

IOC yatoa tamko uchaguzi TOC

KAMATI ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) imetoa tamko la uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC). IOC imeitaka TOC kufanya uchaguzi kabla ya Februari 28 mwakani, kinyume na hapo itajiingiza matatizoni. Kwa mujibu wa taratibu za IOC, nchi wanachama zinapaswa kufanya uchaguzi ndani ya miezi sita baada ya michezo ya Olimpiki kumalizika, msimu huu michezo…

Read More

Sababu Watanzania kushindwa kumudu mahitaji ya kila siku

Dar es Salaam. Kiwango cha Watanzania wanaoshindwa kumudu gharama za maisha za kila siku kimeongezeka mwaka 2023, Ripoti ya Finscope Tanzania inaeleza. Ongezeko hili linatajwa na wachumi kuchangiwa na ukosefu wa ajira na shughuli rasmi za kujipatia kipato cha kila siku, sekta zinazokua kuzalisha nafasi kiduchu na ongezeko la watu waliosoma. Ripoti hiyo inaonyesha mwaka…

Read More

Clara: Mbona ni kawaida yangu

MSHAMBULIAJI wa timu ya wanawake ya Al Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake  Saudia, Clara Luvanga amesema imekuwa kawaida kwake kufunga kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Al Hilal ikiwa miongoni mwa michezo yenye msisimko nchini humo. Mchezo huo ulipigwa wikiendi iliyopita na chama hilo la Clara likiondoka na ushindi wa mabao 4-0, huku mawili…

Read More

Vikundi saba vyawezeshwa kilimo cha mwani

Unguja. Ili kupata mwani bora, wakulima Zanzibar wamepewa mashine za kusagia na kukaushia zao hilo, hatua inayotajwa itaongeza uzalishaji, hususani kipindi cha mvua. Vikundi saba vya ukulima wa mwani vya Unguja vimekabidhiwa kamba 120 na taitai 80 kwa kila kikundi. Pia kumetolewa kaushio la mwani moja na mashine ya kusagia yenye uwezo wa kusaga kilo…

Read More

Sh36 bilioni kuboresha mifumo ya chakula

Unguja. Zaidi ya Sh36 bilioni zilizotolewa na Benki ya Dunia (WB) zitatumika katika mradi wa uhimilivu wa mifumo ya chakula nchini. Mratibu wa mradi huo upande wa Zanzibar, Sihaba Haji Vuai, amesema mradi huo utasaidia kuwawezesha wakulima kuongeza uzalishaji wenye tija. Ametoa kauli hiyo jana Jamanne, Desemba 24, 2024 wakati wa ziara ya kamati ya…

Read More

Mtandao wa EFD kilio cha wafanyabishara Zanzibar

Unguja. Wakati wafanyabiashara wakieleza changamoto ya kukosekana mtandao kwa muda katika mashine za kielektroniki za kutoa risiti (EFD), Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imesema zinaweza kutumika bila mtandao kwa saa kadhaa. Hayo yameelezwa jana Jumanne, Desemba 24, 2024 wakati ZRA ilipowatembelea wafanyabiashara kusikiliza changamoto zao, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya furaha kwa walipakodi yanayofanyika…

Read More

Kibu aingia anga za Orlando Pirates

MIAMBA ya soka la Afrika, Orlando Pirates ya Afrika Kusini wapo kwenye mipango ya kutafuta mshambuliaji mpya wakati wa dirisha la usajili la Januari, huku ikielezwa kuwa moja ya machaguo yao ni nyota wa Simba, Kibu Denis. Tangu mwanzoni mwa msimu huu timu hiyo ilihusishwa na washambuliaji kadhaa, lakini ilifanya uamuzi mgumu wa kumrudisha Boitumelo…

Read More

Rais Samia aligusa Baraza la Mawaziri mara nne 2024

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kufanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri, akilenga kuunda kikosi imara cha kutekeleza malengo ya Serikali. Kama ni mchezo wa soka, ungesema bado Rais Samia hajapata kikosi cha kwanza. Mwaka huu pekee, amefanya mabadiliko mara nne, hatua inayoonyesha juhudi zake za kuboresha uwajibikaji na utendaji wa viongozi…

Read More