
Kocha Serengeti afichua siri ya mafanikio
KOCHA wa timu ya taifa la Tanzania kwa vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, Aggrey Morris, amefichua siri ya mafanikio ya timu yake kufuzu kwa mashindano ya Afcon U17 2025, kwenye Kanda ya Cecafa baada ya kuifunga Sudan Kusini na kutinga fainali huko Uganda. Tanzania na Uganda zimejihakikishia nafasi ya kuwakilisha Kanda ya Cecafa…