
Wapinzani wa Simba Caf waanza kutimuana
UNAWEZA kusema kimeumana huko Tunisia kwa wapinzani wa Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika, CS Sfaxien ambapo mashabiki wake waliendeleza fujo wikiendi iliyopita ambazo zimeshinikiza uongozi kupangua safu ya benchi la ufundi. Kwa mujibu wa taarifa za redio maarufu nchini humo iitwayo Mosaique FM, uongozi ulianza mazungumzo wahusika juzi ili kumalizana kwa makubaliano. Uamuzi huo…