
KKKT yahubiri nuru ya Taifa mkesha wa Krismasi
Dar es Salaam. Wakristo wametakiwa kutafakari na kutenda yaliyo mema ili kuyaweka maisha yao na Taifa lao katika nuru, wakati wa kusherehekea Sikukuu ya Krismas. Imeelezwa kuwa, nuru huongoza maisha ya mtu, huleta furaha, amani na upendo na kwamba Taifa lenye nuru hujawa mafanikio. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Desemba 24, 2024 na Msaidizi wa Askofu…