
Mchuano waanza mabaraza Chadema | Mwananchi
Dar es Salaam. Baada ya vigogo wanne wa Chadema kuchukua fomu kuwania uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, mchuano sasa umeanza kupamba moto kwenye nafasi za mabaraza ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Nafasi hizo ni katika Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha), Baraza la Vijana (Bavicha) na Baraza la Wanawake (Bawacha). Baadhi…