Sababu Ninja kuachana na FC Lupopo hii hapa

BEKI Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amesema sababu ya kuvunja mkataba wa miezi sita uliokuwa umebaki katika klabu aliyokuwa anaichezea ya FC Lupopo ya DR Congo ni maslahi. Ninja alijiunga na klabu hiyo msimu huu akitokea Lubumbashi Sports ya nchini humo ambayo aliichezea kwa msimu mmoja kati ya miwili aliyokuwa amesaini ambapo sababu ya kuachana nayo…

Read More

Watatu wafa kipindupindu kikitajwa Mbeya

Mbeya. Watu watatu wakiwamo wawili wa familia moja wamefariki dunia wakihofiwa kuugua kipindupindu katika Mtaa wa Ilolo, Kata ya Ruanda jijini Mbeya. Akizungumza Mwananchi leo Desemba 24, Mwenyekiti wa Mtaa wa Ilolo, Ezekiel Mwasandube amesema mmoja kati ya watu hao amezikwa. “Wengine tunasubiri kibali kwa kuwa miili ipo hospitali, tunapaswa kila mmoja kuchukua tahadhari,” amesema….

Read More

Moshi yafurika, wafanyabiashara walia hali ngumu

Moshi. Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi, mji wa Moshi umefurika wageni kutoka maeneo mbalimbali waliokuja kusherehekea Krismasi na Mwaka Mpya pamoja na familia zao. Hali hii imeongeza msongamano mkubwa wa watu na magari kwenye barabara kuu za mji huo. Barabara zenye msongamano ni za katikati ya mji wa Moshi kama…

Read More

Mwenyekiti mpya Coastal ayakataa makundi

BAADA ya Hassan Muhsin kuchaguliwa na wajumbe zaidi ya 235 kuwa mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union, ameitaja falsafa yake kuwa ni umoja ikiwa ni kipaumbele chake kikubwa itakayosaidia kuvutia wawekezaji na wadhamini watakaoiwezesha kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu na michuano mingine. Kiongozi huyo alichaguliwa katika Mkutano Mkuu wa Coastal Union uliowapata viongozi wapya. Muhsin…

Read More

AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA DROO YA SANTA MIZAWADI

Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano kutoka Airtel, Jackson Mmbando akizungumza jijini Dar Es Salaam leo Desemba  24, 2024, wakati wa kutangaza washindi wa Santa Mizawadi wa Airtel, zawadi hizo ni za  kusheherekea sikukuu ya Christimas pamoja na Airtel. Kushoto ni Meneja Masoko na Ubuni wa Airte Husein Simba. KAMPUNI ya Airtel imetangaza Washindi wa droo…

Read More

Karia atoa msimamo ombi la simba, yanga

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesisitiza kuwa ni jambo la busara na hekima kuheshimu katiba inayoziongoza klabu zote nchini zilizopo chini ya mwamvuli wa shirikisho hilo. Karia ameyasema hayo akijibu hoja iliyotolewa na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu kisha kuungwa mkono na Rais wa Yanga, Hersi Said ikimtaka aendelee…

Read More

TRA na BASATA Wasaini Makubaliano ya Kubadilishana Taarifa na Kudhibiti Mapato ya Wasanii

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeingia makubaliano na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) ili kubadilishana taarifa na kusomana mifumo ya kudhibiti mapato yatokanayo na wasanii, na pia kubaini wasanii wanaolipa na wasiokodi. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Desemba 24, 2024 Jijini Dar es Salaam katika hafla hiyo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)…

Read More