
Wanne wafariki kwa shoti ya umeme msibani
Handeni. Watu wanne wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya kupigwa na shoti ya umeme wakati wakifunga maturubai msibani Mtaa wa Ngugwini, Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema tukio hilo limetokea leo Jumanne saa 3:40 asubuhi katika mtaa huo. “Waliofariki dunia katika tukio hilo ni …