
BoT yasisitiza marufuku makato katika malipo ya kadi
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imepigilia msumari katazo lake la kutoza ada au gharama za ziada katika miamala inayofanywa kwa kutumia mashine za malipo ya wafanyabiashara (POS) huku ikiwataka wananchi kutoa taarifa watakapokutana na hali hiyo. BoT imetoa tangazo hilo jana Desemba 23, 2024 ikiwa ni siku 160 tangu katazo hili litolewe …