Kurasini Heat inavyozichanga kurudi BDL

POINTI 27-11 zilizofungwa na Kurasini Heat katika robo ya nne zilichangia kuishinda Premier Academy  kwa 70-61 katika mchezo Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam uliopigwa kwenye viwanja vya Kurasini. Kabla ya hapo, Premier Academy ilikuwa inaongoza kwa pointi 50-43. Katika mchezo huo Premier Academy iliongoza katika robo ya kwanza kwa…

Read More

Mwanamke adaiwa kujinyonga kwa kamba ya kufungia ng’ombe

Kiteto. Mfugaji wa Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Happy Memiruti (38) anadaiwa kufariki dunia kwa kujinyonga na kamba ya kufungia ng’ombe. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Ahmed Makarani akizungumza leo Jumanne Desemba 31 mwaka 2024 ofisini kwake, amesema tukio hilo limetokea wilayani Kiteto jana Jumatatu Desemba 30. Hata hivyo, Kamanda…

Read More

Kocha Yanga atoboa siri, atoa tahadhari

KAMA unadhani Yanga ya Sead Ramovic imemaliza, basi unajidanganya. Wengi wanadhani timu hiyo imefika kileleni, lakini ukweli ni kwamba kuna asilimia 20 ya kiwango ambacho Mjerumani huyu anahitaji ili kuhakikisha kikosi kinakuwa moto zaidi. Kocha wa viungo wa Yanga, Adnan Behlulov, amesema katika mahojiano na Mwanaspoti kuwa licha ya mwenendo mzuri wa kikosi hicho, bado…

Read More

Davidson anatupia huyo! | Mwanaspoti

NYOTA wa Christ the King, Davidson Evarist anaongoza kwa kufunga pointi 300 katika Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza inayoendelea jijini Dar es Salaam. Nafasi ya pili kwa ufungaji inashikwa na Fahmi Hamad wa aliyefunga pointi 232, huku wengine wanaofuatia na alama walizofunga ni Diocres Mugoba (Premier 227), George Mwakyanjala (Yellow Jacket 186), Ally Songoro…

Read More

WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA

▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC ▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira ▪️Akemea wananchi kuharibu mali za mwekezaji ▪️Asisitiza Sheria na kanuni kufuatwa 📍Chunya,Mbeya Waziri wa Madini, Mh.Anthony Mavunde (Mb) amesimamisha shughuli za uchimbaji zilizokuwa zikifanywa na kampuni…

Read More

Planet, Eagles ngoma mbichi Mwanza

TIMU ya kikapu ya Eagles imeifunga Planet kwa pointi 63-55 katika fainali ya tatu ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (MRBA) iliyofanyika katika Uwanja wa Mirongo mjini humo. Kwa matokeo hayo Planet inaongoza kwa kushinda michezo 2-1. Katika fainali ya nne endapo Eagles itashinda tena  matokeo yatakuwa 2-2 na mchezo wa tano utachezwa huku…

Read More