
Mbeya Kwanza yaanza na watatu
KATIKA kuhakikisha Mbeya Kwanza inafanya vizuri ili kutimiza malengo ya kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao, mabosi wa timu hiyo wameanza kuimarisha kikosi hicho kwenye dirisha hili dogo la usajili, baada ya kupata saini ya nyota watatu wapya. Nyota wapya waliosajiliwa na timu hiyo yenye makazi yake mkoani Mtwara ni beki wa kati, Hussein Abdullah…