
Aaron arejea nchini baada ya kumaliza majaribio Juventus
Kijana Aaron Patrick Aadkin (16) ni kijana mwenye ndoto za kutoboa kisoka, ndoto hiyo haikuishia tu kitandani bali jitihada zake zimeanza kuonekana na Wazazi wake kama baba yake Patrick Aadkin ameanza kumsapoti na kumtilia mkazo. Aaron amerejea Tanzania hiyo ni baada ya kumaliza majaribio yake katika Klabu ya Juventus ya Italia ambapo alikwenda kwa wiki…