
Camara akwepa mtego | Mwanaspoti
WAKATI leo Simba ikiwa mwenyeji wa JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kipa namba moja wa timu hiyo, Moussa Camara ameonekana kuweka mizizi kwenye nafasi yake. Simba iliyocheza mechi 13 za ligi ikiongoza msimamo kwa pointi 34, msimu huu imetumia wachezaji 25 tofauti kupambania pointi. Kati ya wachezaji hao 25, Camara pekee ndiye…