Migogoro ya Chakula Inazidi Katika Maeneo ya Vita Yanayoharibiwa na Majira ya Baridi – Masuala ya Ulimwenguni

Serikali ya Romania, jimbo la Balkan kusini mwa Ukraine, na washirika wake wa kibinadamu wametoa msaada mkubwa kwa Waukraine wanaokimbia kuongezeka kwa mzozo na Urusi tangu 2022. Walengwa hupokea chakula na masharti ya kibinadamu kutoka kwa Msalaba Mwekundu wa Romania. Credit: Filip Scarlat/Romanian Red Cross na Catherine Wilson (bucharest, romania) Jumatatu, Desemba 23, 2024 Inter…

Read More

SHINDANO LA MABINGWA LA EXPANSE MILIONI KUSHINDANIWA

KITITA cha shilingi milioni moja taslimu kushindaniwa kupitia shindano la michezo ya kasino ya Expanse, Hivo wewe mdau wa michezo ya kasino unaweza kua mshindi na kuifanya sikukuu yako ipendeze kwa kushiriki shindano hili. Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja…

Read More

Tasaf yapeleka neema Upenja | Mwananchi

Dar es Salaam. Wananchi wa Upenja na Shehia za jirani, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Ungujja, sasa wataondokana na adha ya kufuata huduma za afya mbali baada ya kuzinduliwa kwa kituo cha afya. Kituo hicho kitakachokuwa kikitoa huduma mbalimbali, ikiwemo za kibingwa kimezinduliwa ikiwa ni utangulizi kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi…

Read More

Wenyeviti wa vijiji, vitongoji Songwe waonywa kutokuwa chanzo cha migogoro

Songwe. Viongozi wa vitongoji, vijiji na serikali za  mitaa mkoani Songwe waliochaguliwa hivi karibuni wameonywa kutokuwa chanzo cha migogoro kwenye maeneo yao na kwamba watakaobainika wataondolewa. Hayo yamebainishwa leo Jumatatu, Desemba 23, 2024 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe, Silvester Mbanga alipozungumza kwenye mafunzo ya siku moja ya matokeo ya sensa…

Read More

WATU WATANO WAFIKISHWA MAHAKAMANI MADAI YA KUHARIBU,KUHUJUMU MIUNDOMBINU YA RELI YA KISASA (SGR)

 WATUHUMIWA Watano Wakiwemo  Raia Wa China Wawili  Wanaokabiliwa na Tuhuma za  Kuharibu  Miundombinu  Ya Reli Ya Kisasa (SGR) Wamepandishwa Kwa Mara ya pili Katika Mahamakama ya Wilaya ya Kibaha Wakikabiliwa na Makosa Sita Yakiwemo Matano ya Uhujumu wa Miundombinu Ya Reli na Utakatishaji wa Fedha. Akiwasomea Mashtaka  mbele ya Hakimu Mkazi Wa Mahaka hiyo Mheshimiwa…

Read More

WANAFUNZI WADONDOKA KISA PORI LA TAMBIKO KUKATWA

Mkuu wa wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe,Zakaria Mwansasu amesikitishwa na vitendo vya wanafunzi kudondoka mara kwa mara wakiwa shuleni huku vipimo vikishindwa kuonyesha ugonjwa unaowakabili na kupelekea jambo hilo kuhusishwa na imani kutokana na kukatwa kwa msitu uliokuwa ukitumika kwenye tambiko. Akizungumza na wenyeviti wa vijiji pamoja na mitaa wakati wa semina elekezi kwa wenyeviti…

Read More