
Mshtakiwa aomba kesi ya uhujumu uchumi ifutwe, akidai upelelezi kuchelewa
Musoma. Mshtakiwa katika kesi ya uhujumu uchumi ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma kuifuta kesi hiyo kwa madai muda wa upelelezi kwa mujibu wa sheria umepita. Mshtakiwa huyo, Gerold Mgendigendi ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, Desemba 23, 2024 kabla ya kesi hiyo kuahirishwa, baada ya upande wa mashtaka kudai upelelezi wake haujakamilika. Katika kesi hiyo…