RC CHALAMILA ATOA SALAAM ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA 2025

Kuelekea sikukuu za Chrismas na Mwaka mpya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amesema ulinzi na usalama umeimarishwa ili kuhakikisha wananchi hususani wakazi wa Mkoa huo wanakuwa salama katika kipindi chote cha sikukuu na baada ya sikukuu, pia amewataka wazazi na walezi kusimamia vema usalama wa watoto kwa kutowapeleka kwenye maeneo…

Read More

Kauli zamponza Manara, Jeshi la Magereza lamuonya

Jeshi la Magereza Tanzania Bara limemuonya Ofisa Habari wa zamani wa Yanga, Haji Manara dhidi ya kauli isiyokuwa ya kiungwana juu ya jeshi hilo anayodaiwa kuitoa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya timu hiyo na Tanzania Prisons uliochezwa juzi katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Yanga ilishinda kwa…

Read More

Mkongomani akomalia mastaa Tabora United

KOCHA wa Tabora United, Anicet Kiazayidi amesema kikosi hicho kiko katika mwelekeo mzuri ingawa ana kazi kubwa ya kufanya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kutokana na ushindani mkubwa uliopo. Kauli ya kocha huyo inajiri baada ya timu hiyo kumaliza michezo yake ya raundi ya kwanza ikiwa nafasi ya tano na pointi 25, huku…

Read More

Rais Mwinyi : Andaeni mkakati wa kuvutia sekta ya michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameiagiza Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, kuandaa mikakati maalum itakayovutia na kuleta mashindano ya michezo mbalimbali nchini ili viwanja vilivyojengwa kutumika ipasavyo. Rais Mwinyi ameyasema hayo alipozindua awamu ya pili ya Uwanja wa “Amani Sports Complex,” Mkoa wa Mjini Magharibi,…

Read More

Kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa kunawatia wasiwasi Wachad – DW – 23.12.2024

Kikosi cha jeshi la Ufaransa nchini Chad ambacho kimeanza kuondoka kilikuwa na wanajeshi zaidi ya elfu moja. Kuondoka kwa wanajeshi hao kumefuatia hatua ya serikali ya Ndjamena kusitisha mkataba wa kiulinzi na Ufaransa. Aidhaa, hatua hiyo inaendelea kuibua wimbi la wasiwasi miongoni mwa Wachad walioajiriwa katika huduma za vituo vya kijeshi vya Ufaransa vilivyoanzishwa nchini…

Read More