
Aliyekuwa CEO Simba afariki dunia, klabu yamlilia
Uongozi wa Simba umeeleza kusikitishwa na kifo cha aliyekuwa mtendaji wake mkuu, Dk Anorld Kashembe. Taarifa iliyotolewa na Simba leo Jumatatu Desemba 23, 2024 imeeleza kuwa wamepoteza mtu ambaye alikuwa na mchango mkubwa kwa klabu hiyo. “Uongozi wa klabu ya Simba umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba uliotokea leo 23.12.2024 wa aliyekuwa Mtendaji wa…