
Mwambusi: Dirisha dogo limeshika hatma yetu
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema usajili mzuri watakaoufanya dirisha dogo la usajili utaamua hatma ya timu hiyo ambayo haijawa na matokeo mazuri mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara. Tangu Desemba 15, 2024, usajili wa dirisha dogo umefunguliwa kutoa fursa kwa timu za Ligi Kuu Bara, Championship, First League na Ligi Kuu…