
Kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa Afrika . Mha.Gissima ameyasema hayo Desemba 20,2024 wakati wa Ziara yake akiongozana na Viongozi wengine wa Shirika katika kituo cha…