
Ndege nyingine yapata ajali Canada, chanzo chatajwa
Canada. Ndege ya Shirika la Canada Express imepata ajali wakati ikitua katika uwanja wa Kimataifa wa Halifax Stanfield uliopo Nova Scotia nchini Canada. Ajali ya ndege hiyo namba DHC-8-402, iliyokuwa ikitokea Uwanja wa St. John’s, Newfoundland kwenda Uwanja wa Halifax Stanfield nchini humo ilitokea usiku wa kuamkia Jumapili Desemba 29, 2024. Kwa mujibu wa Mamlaka…