
Ujumbe mzito wa maaskofu salamu za Sikukuu ya Krismasi
Moshi. Maaskofu wa madhehebu matatu tofauti, wameibuka na mambo 10 katika salamu zao za Krismasi 2024 huku suala la utekaji, kupotea kwa watu na mauaji likitawala salamu hizo. Mbali na hilo viongozi hao wa dini wameonya juu ya damu inayomwagika pasipo na hatia. Katika salamu zao hizo walizotuma kwa waumini na Mwananchi kupata nakala, maaskofu…