
Ni Neema, kilio bei ya vyakula, nguo zikipaa
Dar/ Mikoani. “Kulia au kucheka ni kupokezana,” ndivyo wanavyosema wafanyabiashara wanaokitumia kipindi cha msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka kama fursa ya kupata fedha mara mbili ya awali, huku kwa wanunuzi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa hasa za vyakula na mavazi. Mfumuko huo wa bei unakolezwa na sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa Jumatano Desemba…