
Mamia ya wanawake waandamana kumsindikiza Mbowe kurejesha fomu
Dar es Salaam. Mamia ya wanawake wanachama wa Chadema, wameandamana kwenda ofisi za makao makuu ya chama hicho, wakimsindikiza Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kurudisha fomu ya kuwania kutetea nafasi yake. Mbali na kuandamana hadi Mikocheni, Dar es Salaam ziliko ofisi hizo, wanawake hao pia wamechanga fedha Sh1.5 milioni na kulipia ada ya fomu hiyo, ikiwa…