
Henry Joseph hana presha Moro Kids
LICHA ya kuanza kwa kusuasua katika First League, nyota wa zamani wa Simba na Mtibwa Sugar, Henry Joseph Shindika amesema hana hofu yoyote kwani anajua mwisho wa msimu ataifikisha Moro Kids katika nchi ya ahadi. Henry anayeinoa Moro Kids ameanza bila ushindi katika mechi tatu za kundi A kwenye First League akiambulia sare dhidi ya…