
Mabingwa Misri kumpa dili nono Mtanzania
BAADA ya kufanya vizuri kwenye msimu wake wa kwanza tu wa ligi, Mabingwa wa Ligi ya Wanawake FC Masar imemuandalia dili nono Mtanzania Hasnath Ubamba. Ubamba alisajiliwa msimu huu kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Fountain Gate Princess ya Tanzania. Taarifa ilizopata Mwanaspoti kutokea Misri ni timu hiyo iko kwenye mchakato wa kumnunua moja kwa…