Mabadiliko ya kijamii yanavyochochea mijadala ya malezi

Tunaishi katika nyakati ambazo maarifa kuhusu malezi ya watoto yamepata kipaumbele kikubwa, tofauti na miaka ya nyuma. Pamoja na kuongezeka kwa mijadala kuhusu malezi kwenye majukwaa mbalimbali, suala hili limelenga zaidi hisia za watafiti kuliko ilivyokuwa zamani. Kila siku, tafiti mpya zinaendelea kuchapishwa zikichunguza changamoto zinazoyakumba malezi ya watoto. Hali hii inaweza kuleta wasiwasi kwa…

Read More

Umuhimu mapumziko ya mwisho wa mwaka kwa familia

Dar es Salaam. Desemba inatajwa kuwa kipindi cha watu kupumzika kwa watu kuchukua likizo na kwenda sehemu mbalimbali za mapumziko au kutembelea ndugu. Wengi wanatumia kipindi hiki pia kujipanga kwa ajili ya kuanza mwaka mwingine vizuri kwa kuangalia vitu walivyokuwa wamevipanga mwaka unaomalizia ni kwa kiasi gani vimefanikiwa, sehemu gani iliyokwama na kitu gani wanaweza…

Read More

Umuhimu wa kukumbuka uchumba katika ndoa

Kwa wale waliooa au kuolewa kabla ya ujio wa mitandao ya kijamii, watakumbuka picha ziwe za kupiga au zilizonasa kwenye bongo zao za uchumba wao. Japo ni matukio yaliyopita, yana umuhimu katika kudumisha au kunusuru ndoa. Bila kumbukumbu, hakuna leo na leo ni kumbukumbu ya yaliyopita. Kwa nini tunasema kukumbuka uchumba ni muhimu katika ustawi…

Read More

Si vibaya kukumbuka uchumba kwenye ndoa

Kwa wale waliooa au kuolewa kabla ya ujio wa mitandao ya kijamii, watakumbuka picha ziwe za kupiga au zilizonasa kwenye bongo zao za uchumba wao. Japo ni matukio yaliyopita, yana umuhimu katika kudumisha au kunusuru ndoa. Bila kumbukumbu, hakuna leo na leo ni kumbukumbu ya yaliyopita. Kwa nini tunasema kukumbuka uchumba ni muhimu katika ustawi…

Read More

Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya basi Kagera

Kagera. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika katika katika hospitali teule ya Biharamulo na kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya basi iliyotokea katika eneo la Kabukome, Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera. Ajali hiyo ilitokea jana Jumamosi Desemba 21, 2024 na kusababisha vifo vya watu 11 na wengine 16 kujeruhiwa…

Read More

11 wafariki ajali ya basi Kagera, 16 wakijeruhiwa

Kagera. Watu 11 wamefariki dunia na wengine 16 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Capco One  kufeli breki na kuseleleka kinyumenyume kisha kugonga gari dogo. Tukio hilo limetokea jana Jumamosi Desemba 21, 2024 katika  Kijiji cha Kabango eneo la milima  pori la Kasibdaga, Wilaya  Biharamulo mkoani Kagera. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo,…

Read More

Power Mabula; Jitu la miraba minne lenye nguvu za ajabu

Power Mabula alitambulika kwa uwezo wake wa kuzuia gari aina ya Land Rover kwa maneno tu, kupitisha gari kifuani na kuhimili kuvunjiwa matofali kwa kifua kwake.  Leo hii, Power Mabula ameokoka na anahubiri Injili kwa jina la Mchungaji Mwakaseka, akifanya huduma zake wilayani Kilindi, mkoani Tanga. Tofauti na wanamichezo wa nguvu za mwili (ma-power) wa…

Read More