
Ramovic amchomoa straika mpya Yanga
KABLA ya kuondoka Yanga, kocha Miguel Gamondi alileta straika mpya na kujifua na kikosi cha timu hiyo kambini, Avic Town, akisubiri kusaini mkataba wakati huu wa dirisha dogo, lakini alichokutana nacho kwa kocha wa sasa, Sead Ramovic, huenda hana hamu nacho. Gamondi alimpokea straika huyo kutoka Uganda na kujifua na mastaa wa timu hiyo ili…