
Wananchi walia kukamilika kwa stendi mpya ya mabasi Songea
Songea. Stendi ya mabasi inayojengwa katika Kijiji cha Lundusi kilichopo Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, inatarajiwa kumaliza adha ya usafiri kwa wananchi walishio vijijini wanaolazimika kutumia gharama kubwa kufuata huduma ya usafiri mjini Songea, zaidi ya kilomita 60. Kutokana na umuhimu wake, wananchi wameitaka kamati ya ujenzi wa mradi wa stendi hiyo kukamilisha mradi huo…